Challo Muusya

Challo Muusya

Akili ikawa haimtulii. Aache mabanati warembowarembo wa chuo kikuu na kwingine waliomfuata, wakamlazimisha kula zabibu akakataa, aje kusalitika kwa mambeta? Ndivyo walivyo akina mama wa siku hizi. Hawaoni soni hata katika kula kifaranga wao wenyewe. Ikiwa basi mvuto hutoka juu mbinguni basi hakuwa na hiari. Atanyoosha mikono aupokee. Mpanzi ni Mungu. Ni kipi kinachomfanya Kijakazi kuwaacha wasichana wa rika lake kisha akasalitika kwa mambeta, mwanamke wa umri wa mama yake? Zebaki anaamua kula kifaranga wake? Hatima ya uamuzi huu ni gani? Jipe uhondo kamili.

Let's Connect

Books By Challo Muusya