Availability: In Stock

MBIO za SAKAFUNI

Author: Challo Muusya
ISBN: 978-9966-082-58-9

KSh800.00

Akili ikawa haimtulii. Aache mabanati warembowarembo wa chuo kikuu na kwingine waliomfuata, wakamlazimisha kula zabibu akakataa, aje kusalitika kwa mambeta? Ndivyo walivyo akina mama wa siku hizi. Hawaoni soni hata katika kula kifaranga wao wenyewe. Ikiwa basi mvuto hutoka juu mbinguni basi hakuwa na hiari. Atanyoosha mikono aupokee. Mpanzi ni Mungu. Ni kipi kinachomfanya Kijakazi kuwaacha wasichana wa rika lake kisha akasalitika kwa mambeta, mwanamke wa umri wa mama yake? Zebaki anaamua kula kifaranga wake? Hatima ya uamuzi huu ni gani? Jipe uhondo kamili.

Category:

Description

Here is What Others Say…

“Hadithi hii inagandama na akili pindi unapoanza kuisoma pasi na kutaka kutengana nayo hadi tamati. Inaweka paruwanja matukio ya kifisadi miongoni mwa watu katika asasi mbalimbali. Vilevile inaangazia utepetevu mkubwa wa uwajibikaji wa viongozi katika majukumu yao bila simile wala kujali. Aidha, Mbio za Sakafuni imesheheni vyema matumizi ya majazi yanayomwezesha msomaji yeyote kutagusana na yaliyomo moja kwa moja mithili ya gurudumu na barabara ya lami. Zaidi ya yote inathibitika kwamba wema daima hushinda uovu.” – Andrew Watuha, Mhadhiri Chuo Kikuu cha Nairobi.

Additional information

Book Author

Price (U$)

Year

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “MBIO za SAKAFUNI”

Your email address will not be published. Required fields are marked *