Description
Katika uzungumzi nafsi wake wa kihistoria, mwandishi Mswidi na Mbengali Rahmani (mzaliwa wa 1978) ameuhisha sauti na mawazo ya Shehe Mujibur Rahman katika kipindi cha masaibu yote na kupigania taifa huru kwa ajili ya Wabengali wa bara dogo la Hindi. Historia ya kisiasa ya Bangladesh imebainika kama tangazo la wananchi la lugha kama turathi ya kitamaduni, kama kielelezo cha mapambano dhidi ya wakoloni yanayozingira mataifa yaliyotoka kwa minyororo ya ukoloni
Reviews
There are no reviews yet.