Availability: In Stock

Wavuvi

Author: Samuel Mwenda
ISBN: 978-1-926906-40-9

KSh1,500.00

Licha ya Pasta Fadhila kukumbana na madhila mengi anaitikia mwito wa kuwa mvuvi. Inspekta Macho naye anagundua kuwa si rahisi kuvua samaki wakubwa. Atawavua wakora wanaovua sehemu nyeti za binadamu? Tamara ang’amua kuwa majuto ni mjukuu. Atafaidi maisha ya mapuuza au atavuliwa na wavu wa malimwengu? Wavuvi wanapokutana Mwambani kuparurana na kutagusana kwao kunazua msisimko mkubwa.

Category:

Description

Despite encountering many problems in life, Fadhila accepted the calling to be a fisher of men. On the other hand, Inspector Macho realized that it was a daunting task to catch big fish. Can he bring to book thugs who chopped and traded with people’s private parts? Tamara was at pains to know that her actions were followed by regrets. Will she benefit from the reckless lifestyle or would she be brought down by what life has to offer? When fishermen meet at Mwambani (rocky place), their conflicts and interactions bring a lot of excitement.

Here is what others say

“If fishermen never got discouraged after undergoing many challenges how about us…this is a novel written with a lot of expertise.” – Stephen Kaimenyi Kirera, Kiswahili Teacher

“This is a captivating, intense narrative! An accurate portrayal of the state of our society presently, in a most amazing manner!” – Beatrice Nyanyuki, Publishing Layout Designer

“A thrilling story, narrated in a unique way! A brain-teaser!” – Dr Matunda Nyanchama, Book Publisher

………………………………………………….

Licha ya Pasta Fadhila kukumbana na madhila mengi anaitikia mwito wa kuwa mvuvi. Inspekta Macho naye anagundua kuwa si rahisi kuvua samaki wakubwa. Atawavua wakora wanaovua sehemu nyeti za binadamu? Tamara ang’amua kuwa majuto ni mjukuu. Atafaidi maisha ya mapuuza au atavuliwa na wavu wa malimwengu? Wavuvi wanapokutana Mwambani kuparurana na kutagusana kwao kunazua msisimko mkubwa.

Maoni ya Waliosoma Riwaya Hii

“Wavuvi hawakufa moyo baada ya kupitia masaibu katika uvuvi wao sembuse sisi… Hii ni riwaya iliyosukwa kwa umbuji wa hali ya juu.” – Stephen Kaimenyi Kirera – Mwalimu wa Kiswahili

“Hii ni hadithi motomoto, inapendeza! Ni taswira sahihi ya hali ya jamii yetu kwa njia inayostaajabisha mno!” – Beatrice Nyanyuki – Mbunifu wa Vitabu

“Hadithi ya kusisimua iliyosimuliwa kwa njia ya kipekee! Kichemsha bongo!” – Dr. Matunda Nyanchama – Mchapishaji wa Vitabu

Additional information

Book Author

Price (U$)

Year

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Wavuvi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *