Availability: In Stock

Tujifunze Mashairi

ISBN: 978-9966-082-35-0

KSh500.00

Mwandishi ameshughulikia kwa mapana na marefu katika uchanganuzi wa vipengele muhimu vya fasihi simulizi kwa kina ili kumwezesha mwanafunzi kuelewa na kufahamu mashairi kwa ufasaha.
Mbali na kushughulikia vipengele muhimu, mwandishi amemulikia masuala ibuka katika jamii zetu. Kitabu hiki, vilevile, kitawafaa wanafunzi, walimu na watahini katika maandalilzi ya mtihani husika.

Category:

Description

Tujifunze Mashairi ni kitabu kinachoangazia na kuwaelekeza vyema wanafunzi, walimu na wasomaji wa fasihi ya Kiswahili katika shule za msingi na hata sekondari.
Mwandishi ameshughulikia kwa mapana na marefu katika uchanganuzi wa vipengele muhimu vya fasihi simulizi kwa kina ili kumwezesha mwanafunzi kuelewa na kufahamu mashairi kwa ufasaha.
Mbali na kushughulikia vipengele muhimu, mwandishi amemulikia masuala ibuka katika jamii zetu. Kitabu hiki, vilevile, kitawafaa wanafunzi, walimu na watahini katika maandalilzi ya mtihani husika.
Wanafunzi, walimu na wapenzi wa fasihi ya Kiswahili watakaotumia kitabu hiki hawatakuwa na budi kuwa weledi wa ushairi hasa ikibainika wazi kuwa mashairi ni kioo cha jamii. Mashairi mbalimbali yametungwa na baada ya kila shairi kuna maswali ya kupima uwezo ama uelewaji wa msomi. Pia kunao sherehe ya kufafanua maneno magumu yaliyotumika.
Elijah Ogoti Sanduki, mwandishi wa kitabu hiki, ana ujuzi mpevu na tajriba nyingi katika utunzi wa mashairi na makala maalum kutokana na michango yake mahususi katika gazeti la Taifa Leo na Taifa Jumapili.

Additional information

Book Author

Price (U$)

Year

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tujifunze Mashairi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *