Samuel Mwenda

Samuel Mwenda

Licha ya Pasta Fadhila kukumbana na madhila mengi anaitikia mwito wa kuwa mvuvi. Inspekta Macho naye anagundua kuwa si rahisi kuvua samaki wakubwa. Atawavua wakora wanaovua sehemu nyeti za binadamu? Tamara ang’amua kuwa majuto ni mjukuu. Atafaidi maisha ya mapuuza au atavuliwa na wavu wa malimwengu? Wavuvi wanapokutana Mwambani kuparurana na kutagusana kwao kunazua msisimko mkubwa.

Let's Connect

Books By Samuel Mwenda