Description
Evelyne Ongogo Okoth ni mwalimu, mwandishi, na mshairi. Alitihimu mitihani wake kutoka shule ya Asumbi. Amejifunza mafunzo ya ualimu katika Chuo cha Ualimu cha Kigari. Baadaye, alijiunga na Chuo Kikuu cha Nairobi, ambapo alihitimu shahada katika Isimu na Fasihi. Hivi sasa anaendeleza masomo ya shahada ya Uzamili katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
Evelyne anapenda watoto na ameandika vitabu vya hadithi na mashairi. Baadhi ya vitabu vyake vimechapishwa na vingine havijachapishwa. Pia amechangia katika sehemu ya ufasaha wa mashairi katika tamasha za muziki nchini Kenya.
Evelyne amechangia pia katika kitabu cha “An Anthology Short Stories and Poems from East Africa” kilichochapishwa na Sentia.
Reviews
There are no reviews yet.