• Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Isimu Jamii

    0

    Kitabu hiki kimetumia lugha nyepesi katika mada zote ili zieleweke vizuri bila utata wowote. Baadhi ya vipengele vilivyoshughulikia katika kitabu hiki ni:

    (i) Maana na umuhimu wa isimu jamii
    (ii) Lugha na matumizi yake
    (iii) Hadhi ya lugha
    (iv) Dhana mbalimbali za lugha
    (v) Kaida zinazotawala matumizi ya lugha n.k.

    KSh500.00
    Add to cart
  • Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Lugha

    0

    Kitabu hiki kimegawika katika sehemu nne muhimu. Hizi ni matumizi ya lugha, sifa/mifanyiko ya Kiswahili, isimu jamii, na historia ya Kiswahili. Mbali na maelezo murua kuhusiana na jinsi ya kukabiliana na ufahamu na ufupisho, pana maelezo yaliyotolewa kwa utondoti kuhusu michakato ya matamshi na aina kadha wa kadha za maneno. Pameangazwa pia ngeli za Kiswahili kama zinavyotumika hivi leo na misingi ya maneno.

    KSh500.00
    Add to cart