Availability: In Stock

Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Isimu Jamii

Author: Benard Omwega
ISBN: 978-9966-082-24-4

KSh500.00

Kitabu hiki kimetumia lugha nyepesi katika mada zote ili zieleweke vizuri bila utata wowote. Baadhi ya vipengele vilivyoshughulikia katika kitabu hiki ni:

(i) Maana na umuhimu wa isimu jamii
(ii) Lugha na matumizi yake
(iii) Hadhi ya lugha
(iv) Dhana mbalimbali za lugha
(v) Kaida zinazotawala matumizi ya lugha n.k.

Description

Kitabu cha Isimu Jamii kwa Wanafunzi wa Shule za Upili

Isimu Jamii kwa Wanafunzi wa Shule za Upili ni kitabu ambacho kimeshughulikia mada ya isimu jamii kwa uketo ili kumwezesha wanafunzi kutoka kidato cha kwanza hadi cha nne kuielewa barabara. Lengo la kuandika kitabu hiki ni kumsahilishia mwanafunzi wa shule ya upili somo la isimu jamii kwa kuangazia vipengele vyote vinavyotahiniwa katika sehemu ya isimu jamii.

Kitabu hiki kimetumia lugha nyepesi katika mada zote ili zieleweke vizuri bila utata wowote. Baadhi ya vipengele vilivyoshughulikia katika kitabu hiki ni:

(i) Maana na umuhimu wa isimu jamii
(ii) Lugha na matumizi yake
(iii) Hadhi ya lugha
(iv) Dhana mbalimbali za lugha
(v) Kaida zinazotawala matumizi ya lugha n.k.

Mwandishi wa kitabu hiki ni mwalimu wa somo la Kiswahili katika shule ya upili ya Moi Girls’ School Nairobi. Aidha, ni mwandishi wa vitabu kama vile Makasia ya Kiswahili na Makasia ya Fasihi; vitabu ambavyo vimewasaidia wanafunzi kufaulu katika somo la Kiswahili.

Additional information

Book Author

Year

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Isimu Jamii”

Your email address will not be published. Required fields are marked *