Availability: In Stock

Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Fasihi Simulizi

ISBN: 978-9966-082-23-7

KSh500.00

Ufafanuzi Tondozi wa Fasihi Simulizi ni kitabu kinachotoa mwelekeo wa usomaji na ufundishaji wa fasihi ya Kiswahili hasa katika kiwango cha sekondari na vyuo vikuu. Waandishi wamechanganua vipengee vya fasihi simulizi kwa utondoti ili kumsaidia mwanafunzi kupata ufahamu zaidi. Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu mbalimbali.

Description

Kitabu cha Ufafanuzi Tondozi wa Fasihi Simulizi

Ufafanuzi Tondozi wa Fasihi Simulizi ni kitabu kinachotoa mwelekeo wa usomaji na ufundishaji wa fasihi ya Kiswahili hasa katika kiwango cha sekondari na vyuo vikuu. Waandishi wamechanganua vipengee vya fasihi simulizi kwa utondoti ili kumsaidia mwanafunzi kupata ufahamu zaidi. Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu mbalimbali.

Kwanza, kimemwelekeza mwanafunzi na mwalimu katika ufunzaji wa fasihi simulizi ili kuboresha ufahamu. Vipengee muhimu vimeshughulikiwa kwa utaratibu huku mifano maridhawa ikitolewa kwa kila kipengee mojawapo. Isitoshe, mazoezi maridhawa yametolewa kwa ajili ya kutathmini ufahamu wa mwanafunzi. Maswali na majibu ya KCSE yameshughulikiwa tangu 2006 hadi 2015 ili kumwandaa mwanafunzi kwa maswali ambayo yanatahiniwa katika mtihani wa kitaifa.

Tamrini maridhawa zimetolewa kwa ajili ya majaribio katika vipengee mbalimbali. Kitabu hiki kitakuwa cha manufaa kwa wanafunzi wa shule ya upili, vyuo vikuu pamoja na walimu na watafiti wa fasihi simulizi. Waandishi wa kitabu hiki wana tajriba nyingi katika ufunzaji wa fasihi simulizi na lugha ya Kiswahili kwa jumla katika shule za upili.

Additional information

Book Author

, ,

Year

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Fasihi Simulizi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *