-
Chachu za Waja
0Udhalimu wa wanawake na wanaume ni suala la kawaida. Kazi hii inadhihirisha uhalisia wa maisha katika familia nyingi za kisasa ambapo kuna ufeministi ambapo hata mwanamke anahisi kuwa nguzo ya familia. Maisha hayo ni sawa na yale watu waliyokuwa wakiishi katika nchi dhahania ya Sokoya, iliyokuwa na makabila mawili yaani Wakomoro na Warambi.
-
-
Kivuli Cha Sakawa
0Kivuli cha Sakawa (Sakawa’s Ghost) , written in Kiswahili, the major lingua franca in the East African region, is a story about one of Africa’s legendary heroes who was at the forefront in the battle against colonialism and its evils. Legend has it that he was a seer and that many of his predictions have come to pass.
-
Mashairi Teule
0Ni vigumu kwa mtu kuelewa,
Kilicho muhimu zaidi kwa malenga-
Ni ushairi ama utu?
Ama ushairi ndio ubinadamu . . . -
MBIO za SAKAFUNI
0Akili ikawa haimtulii. Aache mabanati warembowarembo wa chuo kikuu na kwingine waliomfuata, wakamlazimisha kula zabibu akakataa, aje kusalitika kwa mambeta? Ndivyo walivyo akina mama wa siku hizi. Hawaoni soni hata katika kula kifaranga wao wenyewe. Ikiwa basi mvuto hutoka juu mbinguni basi hakuwa na hiari. Atanyoosha mikono aupokee. Mpanzi ni Mungu. Ni kipi kinachomfanya Kijakazi kuwaacha wasichana wa rika lake kisha akasalitika kwa mambeta, mwanamke wa umri wa mama yake? Zebaki anaamua kula kifaranga wake? Hatima ya uamuzi huu ni gani? Jipe uhondo kamili.
-
Miale ya Mashariki: Mashairi na Mwongozo wa Uchambuzi
0The poems in this collection will attract broad readership. They will be useful in secondary schools, teacher training colleges as well as universities. Likewise, scholars doing research on Kiswahili poetry will find this anthology a great treasure. The value of a house cannot be judged from the door, open and see what is inside!
-
Mimi ni Shehe Mujib: Uzungumzaji Nafsi wa Kiutendi
0Katika uzungumzi nafsi wake wa kihistoria, mwandishi Mswidi na Mbengali Rahmani (mzaliwa wa 1978) ameuhisha sauti na mawazo ya Shehe Mujibur Rahman katika kipindi cha masaibu yote na kupigania taifa huru kwa ajili ya Wabengali wa bara dogo la Hindi. Historia ya kisiasa ya Bangladesh imebainika kama tangazo la wananchi la lugha kama turathi ya kitamaduni, kama kielelezo cha mapambano dhidi ya wakoloni yanayozingira mataifa yaliyotoka kwa minyororo ya ukoloni
-
Tujifunze Mashairi
0Mwandishi ameshughulikia kwa mapana na marefu katika uchanganuzi wa vipengele muhimu vya fasihi simulizi kwa kina ili kumwezesha mwanafunzi kuelewa na kufahamu mashairi kwa ufasaha.
Mbali na kushughulikia vipengele muhimu, mwandishi amemulikia masuala ibuka katika jamii zetu. Kitabu hiki, vilevile, kitawafaa wanafunzi, walimu na watahini katika maandalilzi ya mtihani husika. -
Wavuvi
0Licha ya Pasta Fadhila kukumbana na madhila mengi anaitikia mwito wa kuwa mvuvi. Inspekta Macho naye anagundua kuwa si rahisi kuvua samaki wakubwa. Atawavua wakora wanaovua sehemu nyeti za binadamu? Tamara ang’amua kuwa majuto ni mjukuu. Atafaidi maisha ya mapuuza au atavuliwa na wavu wa malimwengu? Wavuvi wanapokutana Mwambani kuparurana na kutagusana kwao kunazua msisimko mkubwa.