-
Malaika
0This is a story about the love and dedication of three women: a young, independent businesswoman, an older teacher, and her American friend. As political events swirl around these women, and as Kenya moves towards democracy and national cohesion, the reader is caught up in the struggle of the human spirit to realize the goal of justice for all people.
-
Mama Panya na Mtoto wake Chepsoo
0Kitabu hiki kinafunza umuhimu wa tabia njema kwa watoto wadogo, na pia kuwafunza kuheshimu wazazi na wakubwa wao.
-
Management Gems for All Time: Recipe for Business & Everyday Success
0This book contains a thematic assembly of management ideas from diverse and interesting sources. Its captivating case-study style gives character and life to the messages, while making application effortless. Most of the stories have been gathered from the author’s wide range of consulting assignments in both the public and private sectors, but recast to conceal identities. There is no doubt that many practicing and prospective managers as well as entrepreneurs and the general public will find the ideas herein not only inspirational but also transformational. Anyone who seeks to manage for results is bound to find it witty, refreshing and useful both at the work place and elsewhere.
-
Manati Ya Kiswahili Toleo la Darasa la Saba
0– Mwongozo wenye ufafanuzi mwafaka wa namna ya kujiandaa kwa ajili ya mtihani wa Kiswahili.
– Ufafanuzi na maelezo mapana ya hatua kwa hatua kuhusu vipengele vyote vya sarufi kwa mujibu wa silabasi ya sasa ya shule za msingi.
– Maelezo yakinifu kuhusu mbinu na utaratibu aula wa kusoma na kuelewa vifungu vya ufahamu na namna ya kujibu maswali yote yatokanayo na vifungu hivyo. -
-
Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Fasihi Simulizi
0Ufafanuzi Tondozi wa Fasihi Simulizi ni kitabu kinachotoa mwelekeo wa usomaji na ufundishaji wa fasihi ya Kiswahili hasa katika kiwango cha sekondari na vyuo vikuu. Waandishi wamechanganua vipengee vya fasihi simulizi kwa utondoti ili kumsaidia mwanafunzi kupata ufahamu zaidi. Kitabu hiki kimegawanyika katika sehemu mbalimbali.
-
Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Insha
0Kitabu hiki kinamwelekeza mwanafunzi katika uandishi wa insha mbalimbali. Wanafunzi wengi pamoja na walimu hukwepa kipengele cha insha kwa madai kuwa hakivutii; jambo ambalo linasababisha matokeo mabaya. Kutokana na haya, kitabu hiki kinatoa maelekezo kwa wanafunzi na walimu kuhusu ufundishaji wa insha kwa njia bora zaidi.
-
Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Isimu Jamii
0Kitabu hiki kimetumia lugha nyepesi katika mada zote ili zieleweke vizuri bila utata wowote. Baadhi ya vipengele vilivyoshughulikia katika kitabu hiki ni:
(i) Maana na umuhimu wa isimu jamii
(ii) Lugha na matumizi yake
(iii) Hadhi ya lugha
(iv) Dhana mbalimbali za lugha
(v) Kaida zinazotawala matumizi ya lugha n.k. -
Manati ya Kiswahili Toleo la KCSE Lugha
0Kitabu hiki kimegawika katika sehemu nne muhimu. Hizi ni matumizi ya lugha, sifa/mifanyiko ya Kiswahili, isimu jamii, na historia ya Kiswahili. Mbali na maelezo murua kuhusiana na jinsi ya kukabiliana na ufahamu na ufupisho, pana maelezo yaliyotolewa kwa utondoti kuhusu michakato ya matamshi na aina kadha wa kadha za maneno. Pameangazwa pia ngeli za Kiswahili kama zinavyotumika hivi leo na misingi ya maneno.
-
Maria and the Tomatoes
0Verah has edited numerous books, both in fiction and non-fiction, and is passionate about children.
-
Maria n’Echinyanya
0Verah has edited numerous books, both in fiction and non-fiction, and is passionate about children.
-
Maria na Nyanya
0Verah has edited numerous books, both in fiction and non-fiction, and is passionate about children.
-
Mashairi Teule
0Ni vigumu kwa mtu kuelewa,
Kilicho muhimu zaidi kwa malenga-
Ni ushairi ama utu?
Ama ushairi ndio ubinadamu . . . -
MBIO za SAKAFUNI
0Akili ikawa haimtulii. Aache mabanati warembowarembo wa chuo kikuu na kwingine waliomfuata, wakamlazimisha kula zabibu akakataa, aje kusalitika kwa mambeta? Ndivyo walivyo akina mama wa siku hizi. Hawaoni soni hata katika kula kifaranga wao wenyewe. Ikiwa basi mvuto hutoka juu mbinguni basi hakuwa na hiari. Atanyoosha mikono aupokee. Mpanzi ni Mungu. Ni kipi kinachomfanya Kijakazi kuwaacha wasichana wa rika lake kisha akasalitika kwa mambeta, mwanamke wa umri wa mama yake? Zebaki anaamua kula kifaranga wake? Hatima ya uamuzi huu ni gani? Jipe uhondo kamili.
-
Miale ya Mashariki: Mashairi na Mwongozo wa Uchambuzi
0The poems in this collection will attract broad readership. They will be useful in secondary schools, teacher training colleges as well as universities. Likewise, scholars doing research on Kiswahili poetry will find this anthology a great treasure. The value of a house cannot be judged from the door, open and see what is inside!